Wachezaji wanne waishtaki Yanga, hatua zachukuliwa

Kikosi cha Yanga wakiwepo baadhi ya wachezaji wanaoidai klabu hiyo

Mwenyekiti wa Chama cha Wanasoka Tanzania (SPUTANZA), Musa Kisoky, amethibitisha kupokea malalamiko ya wachezaji wanne wa Yanga, ambao wanaidai klabu hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS