RC Mbeya awachapa wanafunzi hadharani
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila, awachalaza bakora wanafunzi 14, katika Shule ya Sekondari Kiwanja iliyopo Chunya mkoani Mbeya kwa madai ya kukutwa na simu za mkononi jambo ambalo ni kinyume na na utaratibu wa shule.

