Moni na Nai watangaza kuijaza Dunia
Mwanamziki wa Hiphop Moni Centrozone na mpenzi wake Official Nai, wamesema kuwa endapo Mungu akiwajaalia, wanatamani kuwa na idadi ya watoto wengi ili na wao waweze kuijaza Dunia na kwamba idadi ya watoto wanaowahitaji, haitawasumbua katika kuwahudumia kwasababu wamejipanga.

.jpg?itok=Nq1QGVDA)