Historia za mastaa wanafainali, Sprite Bball Kings
Ikiwa imebakia siku moja pekee kabla ya vumbi kutimka katika Uwanja wa Don Bosco Oysterbay katika fainali ya Sprite Bball Kings 2019, baadhi ya mastaa wa timu zilizofuzu fainli wameelezea safari za maisha yao ya mpira wa kikapu.

