'Nalindwa na kitaa' - Mr Blue
Mkali Hip Hop Bongo na Rapa Kherry Sameer Rajab "Mr Blue" amesema yeye ni miongoni mwa wasanii ambao hawatakuja kutumia Bodyguard, kwa ajili ya kuwalinda kwenye maonesho wanayofanya na kudai kuwa mashabiki zake ndiyo wanaomlinda.

