Aliyeifunga Hattrick Yanga apewa shavu

Ditram Nchimbi

Mshambuliaji Ditram Nchimbi wa klabu ya Polisi Tanzania ameitwa kwenye kikosi cha Taifa Stars kukamilisha wachezaji 29, kwaajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Rwanda.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS