Game ya kwanza fainali, Mchenga watakata kiugumu
Mchezo wa kwanza kati ya mitano ya fainali, Sprite Bball Kings 2019 umechezwa leo katika Uwanja wa Don Bosco Oysterbay na kushuhudiwa burudani kali na ya kutosha kutoka kwa Mchenga Bball Stars na Tamaduni.

