"Sasa hivi wamekuwa Chawa" - Amber Lulu
Amber Lulu amieleza Friday Night Live ya EATV, kuwa wakati anaanza muziki watu wengi walikuwa wanamchukulia poa na kumdharau, ila hao hao ambao walikuwa wanamsema sasa hivi wamekuwa chawa na wanamuomba misaada.
