Mkurugenzi wa Halmashauri akabidhiwa TAKUKURU Waziri Mkuu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemwagiza Kamanda wa TAKUKURU mkoa wa Singida, Bw. Adili Elinipenda, amchunguze Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mkalama, Bw. Godfrey Sanga kwa matumizi mabaya ya fedha za umma. Read more about Mkurugenzi wa Halmashauri akabidhiwa TAKUKURU