''Marekani wanatupongeza, hatuombi'' - Kabudi
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi, amesema kuwa mataifa makubwa Duniani ikiwemo Marekani, wamekuwa wakiipongeza nchi ya Tanzania kwa kuweza kujisimamia yenyewe kiuchumi, ikiwemo katika ununuaji wa ndege zake.

