Game 2 fainali, Mchenga wakaribia kutoboa Mechi ya pili ya fainali ya Sprite Bball Kings 2019 Fainali ya Sprite Bball Kings 2019 imeendelea leo katika mchezo wa pili na kushuhudia mabingwa watetezi Mchenga Bball Stars wakiendeleza ushindi wa pili mfululizo. Read more about Game 2 fainali, Mchenga wakaribia kutoboa