Asha Baraka amshuhudia mwanaye akicheza fainali Asha Baraka akimuelekeza jambo mwanaye Baraka Mopele Fainali ya pili ya Sprite Bball Kings 2019 imepigwa jana katika Uwanja wa Ndani wa Taifa na kushuhudia mabingwa watetezi Mchenga Bball Kings wakiendeleza ushindi. Read more about Asha Baraka amshuhudia mwanaye akicheza fainali