Wolper amwandalia zawadi hii mpenzi wake Jacqueline Wolper Muigizaji na Mbunifu wa mavazi Jacqueline Wolper, amefunguka kuhusu mahusiano yake ya kimapenzi ambayo ameamua kuyaficha bila kumuonyesha Mwanaume aliyekuwa naye kwa sasa huku akiwaacha watu midomo wazi. Read more about Wolper amwandalia zawadi hii mpenzi wake