Idris Sultan ajibu madai ya kutafutiwa Wanawake Idris Sultan Mchekeshaji maarufu Bongo Idris Sultan, amejibu madai ya kutafutiwa wanawake na msanii wa kike Lulu Diva , pamoja na matumizi ya condom anapokutana kimwili na mpenzi wake. Read more about Idris Sultan ajibu madai ya kutafutiwa Wanawake