Timu ya Ligi kuu yaenda nje kujiandaa na mechi Alliance FC Timu ya soka ya Alliance FC inayocheza ligi kuu soka Tanzania bara, imeondoka leo jijini Mwanza kuelekea nchini Kenya, tayari kwa maandalizi ya michezo yetu ijayo ya VPL. Read more about Timu ya Ligi kuu yaenda nje kujiandaa na mechi