Ahadi ya Rais Magufuli kwa Nyerere

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amesema kuelekea miaka 20 ya kumbukumbu ya kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, yeye ahadi yake ni kuendelea kuwaletea maendeleo Watanzania kama ilivyokuwa nia ya kiongozi huyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS