Kauli ya BASATA kuhusu 'video' za Menina Baraza la sanaa la Taifa (BASATA), limemuita msanii wa filamu nchini Menina Tz, ikiwa ni masaa machache tu, tangu zisambae video na picha zake zisizokuwa na maadili katika mitandao ya kijamii. Read more about Kauli ya BASATA kuhusu 'video' za Menina