Ajibu awaponza mchezaji na mwamuzi wa mechi Ibrahim Ajibu kwenye moja ya mechi za Simba Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Oktoba 7, 2019 ilipitia mwenendo na matukio mbalimbali ya Ligi na kufanya uamuzi ufuatao, Read more about Ajibu awaponza mchezaji na mwamuzi wa mechi