IGP Mstaafu auchambua mchezo wa Taifa Stars
Balozi wa Tanzania nchini Rwanda IGP Mstaafu Balozi Ernest Jumbe Mangu, ameeleza umuhimu wa mchezo wa kirafiki kati ya Tanzania dhidi ya Rwanda utakaopigwa Oktoba 14, 2019, ambapo amewataka wachezaji kucheza kama mechi ya mashindano.

