Mbunge Lema atoa ofa ya magari 10
Mbunge wa Arusha Mjini kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, ametoa ofa ya magari 10 yatakayotumika kupigia matangazo ya hamasa kwa wananchi, kujitokeza kushiriki vyema katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

