Jafo aipongeza Dar es salaam kwa kuwa vinara Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, TAMISEMI, Mh. Selemani Jafo Mkoa wa Dar umekuwa kinara katika zoezi la uandikishaji wa orodha ya daftari la wapiga kura ambalo uandikishaji wake umefikia kilele Alhamis Oktoba 17. Read more about Jafo aipongeza Dar es salaam kwa kuwa vinara