'Bata la Young Dee limetukomesha' - Country Boy
Rapa Country Boy, amesema bata na starehe alizokula Young Dee nchini Marekani, limeshaisha na amekiri amewakomesha wasanii wenziye kwa vitu alivyokuwa anafanya kipindi yupo nchini humo kwa kutumia picha ambazo alikuwa anaweka katika mtandao wa Instagram.

