"Cheni yangu ni kodi ya mwaka ya mtu" - Whozu Whozu Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na mchekeshaji, Whozu amewajibu wanaodai kuwa hana pesa na kudandia kwa ndugu ili kuendelea kuishi mjini. Read more about "Cheni yangu ni kodi ya mwaka ya mtu" - Whozu