Shule ya sekondari yajengwa kwa Bil 2.6 miaka 7
Mkuu wa mkoa wa Morogoro Loata Ole Sanale amesema serikali itaanza kuchunguza matumizi ya fedha zaidi ya bilioni mbili na milioni mia sita zilizotumika katika mradi wa shule ya Sekondari ya Sokoine Memorial baada ya kushangazwa na mradi kutokamilika licha ya kuanza kujengwa kwa miaka 7.

