"Wananionea wivu mwili wangu" - Linah Linah Sanga Msanii wa Bongo Fleva, mwanadada Linah Sanga ameibuka na kujibu maoni ya watu wanaomsema mtandaoni juu ya picha mbalimbali za mwili wake anazo'post' katika mtandao wa Istagram, akisema kuwa wanamuonea wivu. Read more about "Wananionea wivu mwili wangu" - Linah