'Sisi mlitaka kutuua na wengine muwauwe' - Lugola
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola ameyakamata magari mawili moja basi la abiria, na lori yaliyotaka kusababisha ajali kwa kufukuzana na kuovateki bila ya kuwa na tahadhari katika barabara kuu ya Mwanza Mara.

