"Sitaki kuburuzwa, iwe tabu mjini" - Mtambalike Msanii wa filamu Single Mtambalike Msanii wa filamu Single Mtambalike, amesema yeye sio mtu wa kiki kama walivyo wasanii wengine pia hataki kuburuzwa na wananchi kwa wanavyotaka wao kwenye kazi zake. Read more about "Sitaki kuburuzwa, iwe tabu mjini" - Mtambalike