JKT Queens Kuwania tuzo ya Klabu bora Afrika Mabingwa wa ligi kuu ya wanawake Tanzania bara na Afrika Mashariki na kati JKT Queens wameingia katika orodha ya klabu 10 zinazowania tuzo ya klabu bora ya mwaka barani Afrika. Read more about JKT Queens Kuwania tuzo ya Klabu bora Afrika