Mechi ya Prisons dhidi ya Yanga kitendawili

Muonekano wa eneo la kuchezea katika uwanja wa Sokoine Mbeya

Uwanja wa CCM Sokoine jijini Mbeya huenda ukawa sababu ya kuongeza kwa viporo kwenye ligi kuu soka Tanzania bara baada ya eneo la kuchezea 'pitch' kuharibika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS