Mkuu wa Usalama Israel atangaza kujiuzulu Mkuu wa idara ya usalama wa ndani Israel, Shin Bet, Ronen Bar, ametangaza kuwa atajiuzulu Juni 15, wiki sita baada ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kujaribu kumuondoa. Read more about Mkuu wa Usalama Israel atangaza kujiuzulu