DC akataza wazazi kuwapongeza wanaomaliza la 7

Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Julius Mtatiro akiwa wanafunzi.

Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Julius Mtatiro, amepiga marufuku sherehe za wanafunzi wanaohitimu darasa la 7, zinazofanywa na wazazi nyumbani, badala yake amesema itafanyika sherehe 1, tu katika Shule husika na kuwajumuisha ndugu wote.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS