Ameolewa mara 4 ila haamini kama anapendwa kweli Picha ya Jennier Lopez Muimbaji wa Marekani Jennifer Lopez ‘J Lo’ anasema haamini kama amewahi kupendwa kweli licha ya kuolewa mara 4 na wanaume tofauti na kuchumbiwa mara 7. Read more about Ameolewa mara 4 ila haamini kama anapendwa kweli