Umoja wa Africa waitenga Madagascar kwa muda

Umoja wa Afrika umetangaza kwamba umeisimamisha Madagascar kutoka kwenye muungano wa umoja huo hadi utaratibu wa kikatiba utakaporejeshwa baada ya mapinduzi yaliyomuondoa madarakani Rais Andry Rajoelina.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS