Alichokisema Rais JPM baada ya vifo vya watu 18
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, ametuma salamu za rambirambi kufuatia vifo vya watu 18 vilivyotokea wilayani Mkuranga mkoani Pwani, kutokana na ajali ya gari iliyohusisha gari ndogo na Lori la mizigo Alfajiri ya leo Aprili 15, 2020.