DC azungumzia wanaokusanyika kuchapwa Bakora

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Daniel Chongolo.

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Daniel Chongolo kupitia kipindi cha SupaBreakfast amesema hajazuia wamiliki kufungua Baa zao, bali alichozuia ni watu kujaa kwenye baa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS