Killy na Cheed wafunguka sababu za kutoka Kings
Wasanii Killy na Cheed ambao wamejitoa katika lebo ya Kings Music Records ambayo ipo chini ya msanii Alikiba wamesema sababu ya kujitoa kwenye menejimenti hiyo ni ushauri waliopewa kutoka kwa wazazi wao.