Majibu ya Bob Haisa kuwa mwehu, kuachana na mkewe
Msanii wa muziki wa mduara Bob Haisa, amesema kuna muda watu walikuwa wanamshangaa badala ya kumpa ushirikiano, wengine walimuona amepoteza ramani na dira ya maisha huku wengine walimsema kwamba amekuwa mwehu.