Kinachoendelea kuhusu kifo cha mama Rwakatare Marehemu Askofu Dr. Rwakatare na mtoto wake wa kiume. Familia ya Askofu Dr. Gertrude Rwakatare, imesema kuwa kwa sasa bado inasubiri taratibu za kikao cha familia pamoja na Serikali kabla ya kutoa taarifa kuhusu msiba huo. Read more about Kinachoendelea kuhusu kifo cha mama Rwakatare