K2ga wa Kings, atoa neno baada ya wenzake kujitoa
Ikiwa imepita takribani wiki moja tangu wasanii Killy na Cheed kutangaza kujitoa kwenye lebo ya Kings Music Records, msanii aliyebakia ambaye walitambulishwa pamoja ndani ya kundi hilo amesema bado yupoyupo sana kwa Alikiba.