Nuh aeleza sababu ya kuwa na Tattoo ya mke wa mtu Msanii Nuh Mziwanda Msanii wa BongoFleva Nuh Mziwanda, amenyoosha maelezo kuhusu kuendelea kuwa na tattoo yenye jina la "Shishi Baby" ambaye alikuwa mpenzi wake wa zamani na sasa ni mke wa Uchebe. Read more about Nuh aeleza sababu ya kuwa na Tattoo ya mke wa mtu