Mpina aenguliwa na INEC kugombea urais
Kufuatia kikao chake kilichofanyika tarehe 15 Septemba, 2025, INEC imefanya uamuzi wa kumwondoa Mpina, hivyo kuwa pingamizi pekee lililokubaliwa kati ya mapingamizi manne (04) yaliyowasilishwa mbele yake, ambapo pingamizi matatu (03) yamekataliwa.

