Waziri atoa jina kwa madaktari waliomtibu Corona
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson na mchumba wake Carrie Symonds, wametangaza kumpa mtoto wao wakiume jina la Wilfred Lawrie Nicholas Johnson, ikiwa jina kati la Nicholas ni la madaktari waliomtibu Waziri huyo ugonjwa wa Corona.