CCM yataka uchunguzi tukio la Padri kushambuliwa

Kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi, na kulia ni Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Dk Charles Kitima.

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kimeshtushwa na taarifa za kushambuliwa kwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Dk Charles Kitima.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS