Morrison wa Yanga mikononi mwa Jeshi la Polisi Winga machachari wa Yanga, Berand Morrison (Pichani) akiwa mazoezini Jeshi la Polisi Dar limethibitisha kumshikilia kwa muda staa wa Yanga, Bernard Morrison katika kituo kikuu cha Osterbay, Jijini Dar es salaam. Read more about Morrison wa Yanga mikononi mwa Jeshi la Polisi