Afariki akijaribu kuokoa watoto majini Imeelezwa kuwa watoto hao walianza kuogelea kabla ya kushindwa kuyamudu maji na Lilian Mandali kujitosa ili kuwaokoa kabla ya kuzama pia na kufariki dunia. Read more about Afariki akijaribu kuokoa watoto majini