Trump ziarani nchini Uingereza Rais wa Marekani Donald Trump amewasili Uingereza kwa ziara rasmi ya siku mbili ambapo serikali ya Uingereza inatumai kusaini mkataba wa kiteknolojia wenye thamani ya mabilioni ya dola. Read more about Trump ziarani nchini Uingereza