Akamatwa kwa kujifanya mtumishi wa JWTZ na kuiba
Mtuhumiwa huyo kwa nyakati tofauti alipita maduka mbalimbali na kujifanyaAskari wa Jeshi la Wananchi Tanzania na kuchukua pochi sita na saa tatu, mali alizodai zinafanana na rangi za Jeshi la Wananchi Tanzania na hazistahili kuwepo madukani hapo.

