Fanyeni kazi kwa kuzingatia sheria
Kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu Tume imetoa kibali cha kutoa elimu ya mpiga kura kwa taasisi na asasi 164 kwa ajili ya kutoa elimu ya mpiga kura na taasisi na asasi 76 za ndani na 12 za kimataifa zimepata kibali cha uangalizi wa uchaguzi.