Lengo Mabasi yote yarejee stendi ya Magufuli

Alphonce Temba, aliyekuwa akigombea kupitishwa kuwa mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Kibamba kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema mojawapo ya mipango yake mikuu ilikuwa ni kuhakikisha mabasi yote ya mikoani yanarejeshwa kwenye Stendi ya Magufuli - Mbezi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS