Mukwasa Sekondari yanufaika NAMTHAMINI Hai, Kilimanjaro – Balozi wa kampeni ya #NamthaminiNasimamaNaye, Ms. Najma Paul, ameongoza tukio maalum la kukutana na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mukwasa, iliyopo katika Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro. Read more about Mukwasa Sekondari yanufaika NAMTHAMINI